INTRO LADIES & GENTLEMEN, BROTHERS & SISTERS ITS A BRAND NEW SOOOOOOOOONG ALL THE WAY FROM MY BROTHER DARASSA WHATS UP!!!
WOAAH (WHISTLES)
TOUCH!!!
NASEMAJE, NASEMAJE HIVI NDIVYO TUNAVYO ISHI MAISHA YETU KILA SIKU
*UKIWIN DARE SALAMA KUISHI NI CV FISH ANAKULA FISH LIFE OF THE SEA YOU GOTTA LOOK FOR THE KEY NOTHING IS FREE JIJI HALIJA KAA KAA KIMPENZI MR T
NLIPOTEA SINZA MITAA YA NDANI NDANI NKAOMBA SAMARIA WEMA NIPATE RAMANI AUNTY AUNTY SAMAHANI KWANI WE UNA BEI GANI MI NI MGENI NLIKUWA NAULIZA NJIA YA KWENDA KANISANI
NAKUTANA NA SHABANI, SHABANI NAMJUA,NAMSALIMIA SHEBBY AMEUCHUBUA SHEBBY ANA SUA SUA AU I'M NOT SURE KUMBE HUKU WANAKWENDA KAMA PASTOR JOSHUA NIKILIANGALIA BODY ANG'ALI NGANGARI KUMBE JITU KUBWA MWILI JUMBA LA KILAKSHARI UNAAMBIWA HAKUNA PARTY MPAKA UGONGEE NCHUMARI NA HAKUNA HABARI KAMA WATU WANAPONDA MALI
CHORUS *MIND YOUR BUSINESS, MI SINA NOMA NA WE MIND YOUR BUSINESS AS LONG AS YOU DON'T GET IN MY WAY ×2
EYES ON PRIZE EYES PRIZE LADIES & GENTLEMEN SASA TUKO WAZI EYES ON PRIZE EYES ON PRIZE TAJIRI KAPAGAWA BEI TUMEMWAGA RAZI
KUJIONGELESHA UPUZI MASHAUZI MAKUZI MAKUZI KELELE NYINGI FUJO MILUZI MBONA THATS NOT BIG NEWZI KESHO ZIPO DALILI KUNA KUJA KIMBUNGA, FUNGIA WATOTO NDANI KWA NYUMBA MARA SAYANSI MAJI YAMEZIDI UNGA KULA KULA TU UJINGA UTAKUNYA PUMBA YOU WANNA AVOID PROBLEMS, VERY SIMPLE MIND YOUR BUSINESS NOW WHAT YOU WANT TROUBLE YOU PEOPLE MIND YOUR BUSINESS
CHORUS* *MIND YOUR BUSINESS, MI SINA NOMA NA WE MIND YOUR BUSINESS AS LONG AS YOU DON'T GET IN MY WAY ×2
EYES ON PRIZE EYES PRIZE LADIES & GENTLEMEN SASA TUKO WAZI EYES ON PRIZE EYES ON PRIZE TAJIRI KAPAGAWA BEI TUMEMWAGA RAZI
MIND YOUR BUSINESS MIND YOUR BUSINESS AS LONG AS YOU DON'T GET IN MY WAY×2
22 comments
👉💯🔥🤴👸❤️🇰🇪
Interview ya Dully imenileta hapa .. Dully angeua hii …
Tunahitaj remix ukiwa na dully sx
i need real friends like him
🔥🔥🔥💯
i like too
Mind you business
what am loving even more is the video…eishhhh! the beats! olaaaa kitu tamu hii
Utakunya pumba darass wee mkali mistri kma yoteeeeeeeeeee😂😂😂😂😂😂❤
Hapo nimeweka tiiiiiiick💥💥💥💥💥💥💥💯💯💯
How egotistical for a man to act like this and they only exsist foor sex…
👍👊✌️.
my favorite bongo song, the flow is lit💫
darassa all the way,never gets old.much love from kenya
Darassa noma sana
Safi
THIS ONE WAS REALLY A BANGER & A NICE ONE ANYWAY…….
Darassa mliamua kutuvunja adi mifupa. Huku town mnatusingua vinoma. Mind your business ❤❤❤
MIND YOUR BUSINESS LYRICS
DARASSA
INTRO
LADIES & GENTLEMEN, BROTHERS & SISTERS ITS A BRAND NEW SOOOOOOOOONG
ALL THE WAY FROM MY BROTHER DARASSA WHATS UP!!!
WOAAH (WHISTLES)
TOUCH!!!
NASEMAJE, NASEMAJE HIVI NDIVYO TUNAVYO ISHI MAISHA YETU KILA SIKU
*UKIWIN DARE SALAMA KUISHI NI CV
FISH ANAKULA FISH LIFE OF THE SEA
YOU GOTTA LOOK FOR THE KEY NOTHING IS FREE
JIJI HALIJA KAA KAA KIMPENZI MR T
NLIPOTEA SINZA MITAA YA NDANI NDANI
NKAOMBA SAMARIA WEMA NIPATE RAMANI
AUNTY AUNTY SAMAHANI
KWANI WE UNA BEI GANI
MI NI MGENI NLIKUWA NAULIZA NJIA YA KWENDA KANISANI
NAKUTANA NA SHABANI, SHABANI NAMJUA,NAMSALIMIA SHEBBY AMEUCHUBUA SHEBBY ANA SUA SUA AU I'M NOT SURE
KUMBE HUKU WANAKWENDA KAMA PASTOR JOSHUA
NIKILIANGALIA BODY ANG'ALI NGANGARI KUMBE JITU KUBWA MWILI JUMBA LA KILAKSHARI UNAAMBIWA HAKUNA PARTY MPAKA UGONGEE NCHUMARI
NA HAKUNA HABARI KAMA WATU WANAPONDA MALI
CHORUS
*MIND YOUR BUSINESS, MI SINA NOMA NA WE
MIND YOUR BUSINESS AS LONG AS YOU DON'T GET IN MY WAY ×2
EYES ON PRIZE EYES PRIZE LADIES & GENTLEMEN SASA TUKO WAZI
EYES ON PRIZE EYES ON PRIZE
TAJIRI KAPAGAWA BEI TUMEMWAGA RAZI
KUJIONGELESHA UPUZI MASHAUZI MAKUZI MAKUZI
KELELE NYINGI FUJO MILUZI
MBONA THATS NOT BIG NEWZI
KESHO ZIPO DALILI KUNA KUJA KIMBUNGA, FUNGIA WATOTO NDANI KWA NYUMBA
MARA SAYANSI MAJI YAMEZIDI UNGA
KULA KULA TU UJINGA UTAKUNYA PUMBA
YOU WANNA AVOID PROBLEMS, VERY SIMPLE MIND YOUR BUSINESS
NOW WHAT YOU WANT TROUBLE YOU PEOPLE MIND YOUR BUSINESS
CHORUS*
*MIND YOUR BUSINESS, MI SINA NOMA NA WE
MIND YOUR BUSINESS AS LONG AS YOU DON'T GET IN MY WAY ×2
EYES ON PRIZE EYES PRIZE
LADIES & GENTLEMEN SASA TUKO WAZI
EYES ON PRIZE EYES ON PRIZE TAJIRI KAPAGAWA BEI TUMEMWAGA RAZI
MIND YOUR BUSINESS
MIND YOUR BUSINESS AS LONG AS YOU DON'T GET IN MY WAY×2
Newest🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤😂😂😂😂
😊k
Mjnd your business